Picha: Mapokezi ya Feza alipowasili nchini

Aliyekuwa mshiriki anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Africa mwaka huu Feza Kessy amerejea nchini na kupokelewa kwa shangwe. Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi yake alipowasili uwanja wa ndege.
Feza akiwa na mtoto wake Jayden
Feza, mtoto wa dada yake kulia,mama, kaka na mtoto wake
Vannesa Mdee pia alikuwepo uwanjani
Vanessa akiwa na furaha ya kumwona Feza

0 Maoni:

Toa Maoni