Kuhusu Mwandishi

Hello! naitwa Maryam Kitosi, ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu kwenye Kinara Media House, tovuti inayoaminika zaidi kwa habari motomoto za burudani, udaku na nyingine nyingi.

Nina uzoefu mkubwa wa uandishi kwa ubora wa hali ya juu, na huwa ni mwenye shauku ya kujifunza mambo mapya na kushiriki uzoefu wangu kama mtaalam wa habari na mtandao kupitia maandishi yangu.

Asante kwa wasomaji na marafiki wote kwa kupenda tovuti yangu. Natumai mtaendelea kuunga mkono Kinara Media House, kwani bila nyinyi mimi na Kinara Media House hatujakamilika. Ninawashukuru sana nyote kwa juhudi mnazomwaga katika ukuaji wa Kinara Media House. Kwa mara nyingine tena shukrani za dhati kwa wote kwa kusoma mawazo yangu.