Beverly apewa ofa ya kucheza ngono..Angelo amkingia kifua

Baada ya shindano la Big Brother Africa The chase kumalizika na washiriki kurejea makwao katika maisha halisi,swala mshiriki wa Nigeria Bervely Osu kuliwa tunda lake live katika jumba hilo na kijana mtanashati aliyeiwakilisha Afrika Kusini Angelo limemletea picha mbaya nchini kwao bi dada huyo anayeonekana mcharuko.

Mwigizaji na mtayarishaji maarufu wa picha za ngono kutoka nchini Nigeria Judith Mazagwu a.k.a Afro Candy ametoa pole na kumkaribisha Beverly katika ulimwengu wa filamu za ngono..makubwa! akiwa ameandika katika page yake ya facebook cheki alichokiandika.

Afro Candy kazini

Angelo kupitia account yake ya twitter amemkingia kifua bi dada na kusema ni mtu mwema tu na amemfanya kuanza kusoma biblia! 
Tweet za Angelo

0 Maoni:

Toa Maoni