Kijana huyo mwenye umri wa miaka 24 amewapiga bao hata wasanii wakubwa kama D'banj,2Face Idibia na hata kijana mwenzake Davido akiwa na followers 724,488..inaonesha ni kiasi gani anafatiliwa na kuzimiwa na mashabiki wake.
Wizkid 'anatisha' kwenye mtandao
Msanii mdogo na CEO wa Star Boy Entertainment Wizkid ni msanii maarufu zaidi na mwenye followers wengi zaidi katika mtandao wa kijamii twitter nchini Nigeria.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 24 amewapiga bao hata wasanii wakubwa kama D'banj,2Face Idibia na hata kijana mwenzake Davido akiwa na followers 724,488..inaonesha ni kiasi gani anafatiliwa na kuzimiwa na mashabiki wake.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 24 amewapiga bao hata wasanii wakubwa kama D'banj,2Face Idibia na hata kijana mwenzake Davido akiwa na followers 724,488..inaonesha ni kiasi gani anafatiliwa na kuzimiwa na mashabiki wake.

0 Maoni:
Toa Maoni