Rihanna na Nick Minaj washare picha za utata

Wasanii wasioishiwa matukio na vituko Rihana na Nick Minaj wameendelea kutupia picha za utata katika mItandao wa kijamii.

Ijumaa Rihana alitupia instagram picha zake zikimuonyesha kajiachia katika kivazi cha bikini,cheki hapo chini.




Nick Minaj pia alitupia picha tata katika akaunti yake ya Twitter zinazomuonyesha hajavaa top wala nini ila sehemu yake ya (matiti) yamezibwa na nywele zake!



0 Maoni:

Toa Maoni