Msanii wa Filamu kutoka Nigeria (Nolywood) Chinedu Ikedieze maarufu kama Aki amegeuka mbogo baada ya mashabiki kupitia mtandao wa kijamii twitter kuita Short man. Aki amepiga mkwara mzito kuwa atakayemuita short man basi atam-block katika list ya rafiki zake.
0 Maoni:
Toa Maoni