Shabiki wa kweli wa timu ya Manchester United toka Bulgaria ameonyesha mapenzi ya dhati na timu yake baada ya kuchora tattoo ya brand ya timu hiyo eneo la juu usoni (komwe)huku akijibadili na jina na kuijiita Man U!
''Hii tattoo ni kama kitambulisho changu..watu hawaniangalii kama kichekesho, wananiangalia kama uongozi. na sasa wakati wowote mtu akiniuliza jina langu naonyeshea kwenye uso wangu kisa natabasamu!'' Alifunguka shabiki huyo wakati akizungumza na The Sun.

0 Maoni:
Toa Maoni