PICHA: Ciara akiwa mazoezini huku akionekana mrembo zaidi na ujauzito wake

Akiwa amebakiza siku chache tu aweze kumkaribisha mtoto wake wa kwanza duniani, mwanamuziki Ciara bado yuko ngangari kinoma na hajabweteka hata kidogo na hivi karibuni amenaswa akipiga tizi mtaani kama kawaida pamoja na ukubwa wa tumbo lake kitu kinachotafsiriwa kama siri ya urembo wake mpaka sasa.

Cheki picha zake akiwa mazoezini ..

0 Maoni:

Toa Maoni