Ray C 'amtandika' Lord Eyez kwenye mtandao!

 
Mwanamuziki kiuno bila mfupa Ray C amempa makavu pamoja na ushauri nasaha aliyekuwa mpenzi wake rapa Lord Eyez ambaye inasemekana ndio alimuingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya na kumfanya apoteze muelekeo.


Kupitia mtandao wa Instagram Ray C aliweka picha ya Lord Eyez akiwa chini ya ulinzi wa polisi na kufunguka haya;


0 Maoni:

Toa Maoni