Ijumaa tarehe 20 kulikuwa na party ya utoaji tuzo kwa Wafanyakazi bora wa mwaka na kupongezana kwa kazi nzuri tuliyofanya kwa mwaka mzima 2013 hapa 100.5 Times fm radio.
Katika Tuzo zilizotoka nimefanikiwa kunyakuwa Tuzo ya
Mtangazaji bora wa mwaka (Best Presenter of the year) lakini kipindi nachokiendesha kinajulikana kama
Hatua Tatu kimepata tuzo ya
Kipindi Bora cha mwaka...ni furaha iliyoje!
Na hizi ni baadhi ya picha za tukio la utoaji wa tuzo lilivyokwenda, enjoy.
 |
| Nikikabidhiwa cheti changu na Meneja rasilimali watu baada ya kutangazwa Mtangazaji bora wa mwaka |
 |
| Timu ya kipindi cha Hatua Tatu(Dj Rguy, Maryam
Kitosi, Edson Mkisi & Cliford Ndimbo),tukikabidhiwa cheti cha 'Kipindi Bora cha
Mwaka 2013' na 'Meneja Rasilimali Watu, Hellen Mnzava |
 |
| Shemeji yenu pia alipata tuzo mbili.. Mfanyakazi bora wa mwaka kwa vipindi na Mfanyakazi bora wa mwaka kwa jumla.. tumebarikiwa wallah! |
 |
| Dj wa kipindi cha Hatua Tatu Dj R guy akaibuka kuwa Dj bora wa mwaka |
 |
| Dereva bora wa mwaka anaitwa Hamis Msangi |
 |
| Tuzo ya mfanyakazi bora idara ya masoko ilienda kwa Dickson |
 |
| Mtumishi bora wa mwaka kwenye upande wa misosi jikoni na usafi B Hellen alikumbukwa pia kwa tuzo... |
|
|
|
 |
| Wapendanao..Dida na Ezden & Cliford na Maryam |
Baada ya hapo shangwe za kusherekea tuzo zikahamia Nyumbani lounge ambapo Anaconda Lady JayDee alikuwa anatumbuiza.
 |
| Mie, hubby na Dida The rocker |
 |
| Ezden The Rocker na Ndimbo |
 |
| Captain na Hubby |
 |
| Moko Biashara,Dida,Hubby na mie |
0 Maoni:
Toa Maoni