Future adaiwa kumdhalilisha Ciara baada ya kuchepuka na Stylist wake..


Baada ya rapa Future na baby mama wake Ciara kubwagana ikiwa ni miezi mitatu tu tangu wapate mtoto , habari mpya zimeibuka na kudai Future amemdhalilisha Ciara baada ya kuchepuka mbunifu wake (yaani wa future) 'Stylist' na ndio chanzo cha penzi lao kuvunjika!

Huku habari hizo zikisambaa Future ametumia ukurasa wake wa Instagram kufunguka sentesi zilizochukuliwa kama ni jibu la tetesi hizo...
"I Dnt respond to rumors I respond to money." Alifunguka Future.

0 Maoni:

Toa Maoni