Kutoka BBA:Feza aaga shindano

Jana mshiriki kutoka Tanzania aliyekuwa kabaki mjengoni BBA Feza Kessy jana ameaga rasmi shindano hilo jana na kufanya Afrika mashariki kutokuwa na mshiriki kabisa.

 Hivi ndivyo Afrika ilivyopiga kura;
Angola: Dillish
Botswana: Feza
Ghana: Dillish
Kenya: Feza
Ethiopia: Dillish
 Malawi: Cleo
Namibia: Dillish
Nigeria: Dillish
South Africa: Cleo
Sierra Leone: Dillish
Tanzania: Feza
Uganda: Feza
Zambia: Cleo
Zimbabwe: Cleo
Rest of Africa: Dillish

Jumla: Dillish = 7, Cleo = 4, Feza = 4.

(Jumla 15 Votes)

Zimebaki wiki mbili tu BBA The chase kufika fainali na washiriki saba ndio wamebaki mjengoni Cleo(Zambia),Bervel (Nigeria),Melvin (Nigeria),Dillish (Namibia), Bimp(Ethiopia) , Elikem(Ghana), Angelo(Afrika kusini).

0 Maoni:

Toa Maoni