Show ya Prezzo kwenye boat Marekani yabuma

Aliyewahi kuwa mshiriki wa BBA star game mwaka jana na rapper mwenye makeke kutoka nchini Kenya Prezzo yupo katika ziara ya kimuziki Marekani ambapo anatarajia kuonana na Jay Z kwa mara ya pili.

Wakati akiendelea na ziara yake alipata show kwenye boat huko Dallas Texas ambayo ilibidi atumbuize watu zaidi ya mia moja lakini inasemekana amaeambulia watu 30 tu!

Habari kutoka katika vyanzo makini zinasema Prezzo ni maarufu zaidi Afrika mashariki lakini si US (Marekani).

0 Maoni:

Toa Maoni