Mbali na uigizaji pia Van Vicker ni mjasiriamali anamiliki kampuni ya Sky & Orange advertising Agency na Babetown Unisex salon pia ni founder wa Van Vicker foundation ni baba pia wa watoto watatu.Happy birthday Van Vicker!
Van Vicker atimiza miaka 36 leo, Happy birthday!
Mwigizaji mashuhuri na mwenye mvuto kutoka nchini Ghana Van Vicker leo anasherehekea miaka 36 tangu kuzaliwa kwake akiwa amezaliwa tarehe 1 august 1977.
Mbali na uigizaji pia Van Vicker ni mjasiriamali anamiliki kampuni ya Sky & Orange advertising Agency na Babetown Unisex salon pia ni founder wa Van Vicker foundation ni baba pia wa watoto watatu.Happy birthday Van Vicker!
Mbali na uigizaji pia Van Vicker ni mjasiriamali anamiliki kampuni ya Sky & Orange advertising Agency na Babetown Unisex salon pia ni founder wa Van Vicker foundation ni baba pia wa watoto watatu.Happy birthday Van Vicker!

0 Maoni:
Toa Maoni