PICHA: Rick Ross apata pacha.. Thursday, September 26, 2013 Mapaparazi wamefanikiwa kunasa picha ya pacha wa Rick Ross huko nchini Nigeria katika kijiji kimoja huko Warri lol! Unaonaje hapo wanafanana? Watu wana utani unaweza ukarusha ngumi haa! Share kwenye: Facebook Twitter Maryam Kitosi Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni