''Ni ngumu na inahitaji ujasiri mkubwa kutokea mbele ya umati wa watu na matiti makubwa kiasi hiki'' Alisema Beshine.
Aweka rekodi kwa Matiti makubwa..ni ngumu hata kupiga jeki!
Unaweza ukawa binti umebarikiwa mzigo mkubwa kifuani kiasi cha kukosa raha na kujihisi mpweke na kujionea Mungu kakuonea..unakosea sana! Kutana na mwanamke wa Kijerumani mwenye miaka 30 anayeitwa Beshine anayeshikilia record ya mwanamke mwenye matiti makubwa...anayevaa bra spesho na anaepata tabu katika matiti kutokana na ukubwa wa 'nyonyo'.
''Ni ngumu na inahitaji ujasiri mkubwa kutokea mbele ya umati wa watu na matiti makubwa kiasi hiki'' Alisema Beshine.
''Ni ngumu na inahitaji ujasiri mkubwa kutokea mbele ya umati wa watu na matiti makubwa kiasi hiki'' Alisema Beshine.

0 Maoni:
Toa Maoni