PICHA: D banj aonyesha jeuri ya pesa!

Mwanamuziki Dbanj ameonyesha jeuri ya pesa kwa kuvaa koti la Gharama kubwa kwenye show iliyofanyika jumamosi iliyopita nchini Nigeria iliyopewa jina la Hennesy Artistry finale.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari koti hilo lilitumwa kutoka Marekani na limegharimu zaidi ya Naira milioni moja kwa pesa za ki-Nigeria..Cheki picha ya koti hilo.

Baadae muda wa show ulipofika D banj alipopanda kutumbuiza mwadada 'mcharuko'aliyeiwakilisha Nigeria katika Big Brother The Chase Beverly Osu nae alipanda jukwaani kumpa kampani bwana mkubwa huyo.

Cheki picha ya mambo yalivyokwenda.

0 Maoni:

Toa Maoni