PICHA YA SIKU: Kyle na Jaden waliponaswa na kamera ya paparazi..

Japo wanasema wao ni marafiki wa kawaida tu, Kyle Jenner (16) mtoto anayetokea kwenye familia ya kistaa iliyojipatia umaarufu kwenye kipindi chao cha Keeping up with the Kardashians  na mtoto wa Will Smith, Jaden (15) wamenaswa wakijiachia kimahaba huko LA walipokuwa kwenye matembezi ya kawaida na marafiki.

Muda walionekana zero distance kama picha zinavyojieleza..


0 Maoni:

Toa Maoni