Kutana na warembo Mapacha wanao- share mpaka boyfriend..tena wanalala nae kitanda kimoja!

Stori nyingine ya kushangaza
Mapacha wawili wenye umri wa miaka 28 Anna na Lucy DeCinque, waliozaliwa kwa kupishana dakika moja wanashirikiana kila kitu kwenye maisha yao,kazi,gari,account ya facebook na hata boyfriend.

Kama vile kuwa mapacha aitoshi wakaamua kufanya upasuaji wa kuondoa aina yoyote ya kutofautiana kati yao.

Wamefanya hivyo katika lips zao,matiti na kuongeza macho bandia ambavyo vimegharimu paundi 130,000 ambazo ni sawa na takribani milioni 270 za kibongo.


Anna na Lucy,ambao wanakaa nyumbani na mama yao wana share boyfriend ambaye wanaamini kwao ni jambo sahihi.


Anna anasema :
'Tunatoka na mpenzi mmoja kwasasa na kuna watatu ambao tume share pamoja'

Lucy akaongezea : 'Anasema si kitu kibaya kwao na wote watatu wana share kitanda kimoja,anasema kwa wanaume kwenye mioyo yao na ndoto zao wanataka kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja.Anasema wana taste zinazofanana kwenye kila kitu kwahiyo hata upande wa mpenzi wanampenda mwanaume mmoja na wanakuwa pamoja wakati wa kushiriki tendo na mara zote wanapopata mpenzi huwa ni wa kwao wote.

Lucy Anasema :
Walipokuwa wasichana walikuwa wakibadilishana wapenzi hata katika simu kama hataki kuzungumza na mpenzi wake anampatia ndugu yake anazungumza naye pasipo mpenzi kugundua lakini kwasasa wametulia.

0 Maoni:

Toa Maoni