Justin Bieber amepokea zawadi kubwa ya gari la gharama aina ya Bugatti kutoka kwa bosi wa YMCMB Birdman weekend hii iliyoisha.
Huku akiwa na furaha kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bieber amefunguka baada ya kupokea zawadi Cheki gari hilo lenye thamani ya $2m..




0 Maoni:
Toa Maoni