Jasho lake lilipatikana baada ya kulala na T-shirt moja kwa kwa usiku wa siku 5 mfululizo hivyo kutumia njia maalum kupata jasho lake,kupata chupa yenye machozi yake ilibidi aangalie filamu na katuni zilizomkumbusha utotoni huko nchini Poland.
Baadhi ya wanawake walitumia pafyumu yake wametoa maoni wengine wamesema inanukia kama jasho la juani huku wengine wakisemainanukia kama T-shirt ya msichana ambaye ametumia deodorant lakini haikumaliza vizuri harufu ya jasho!!

0 Maoni:
Toa Maoni