P square mambo si mabaya.. na tayari wameongeza idadi ya magari ya maana huku Peter Okoye akiyaanika kwenye Instagram page yake..hapa tunazungumzia ndinga za maana zilizogharimu pesa nyingi tu!
Welcome to Squareville... #2014bentleyGT #2014wrangler #testimony The same God will bless u all.Crazy Squareville... New arrivals... Don't worry God will do same for u.. #hardwork''Hiyonni caption aliyoandika Peter baada ya kuonyesha mali hizo mpya..



0 Maoni:
Toa Maoni