PICHA YA SIKU: Usher anapolizimikia tumbo la mama kijacho Alicia Keys

 

Usher amenaswa na camera akilizimikia tumbo la ujauzito la mwanadada Alicia Keys kwenye Tamasha la muziki iHeartRadiohuko Vegas siku ya ijumaa..kutokana na uzuri wa picha hii nikaona iwe picha ya siku humu ndani ya MamuAfrica blog..mwaonaje?

0 Maoni:

Toa Maoni