Birthday ya Ritha Dominic ilinoga,cheki picha

Ijumaa ya tarehe 15 mwanadada mrembo kutoka Nigeria, mkongwe wa filamu na mmoja kati ya kina dada wanaofanya vizuri Nollywood Ritha Dominic alitimiza miaka 38 tangu kuzaliwa kwake.Amesherekea siku yake hiyo muhimu kwa kujichanganya na mastaa wenzake,enjoy kwa picha hapo chini.

 







0 Maoni:

Toa Maoni