Kwa mara ya kwanza K llyn aonyesha familia yake!


Miss Tanzania wa zamani 'Jackline Ntuyabaliwe'aka K llyn baada ya mwaka jana kufanikiwa kupata watoto wawili mapacha watu wengi wamekuwa na hamu ya kuiona familia yake na hatimaye aweka mambo hadharani!Kwa mujibu wa tweet yake ndiyo mara yake ya kwanza kupost picha hii ambayo ilikuwa ikimuonyesha yeye  na watoto wake ambao ni mapacha pamoja na baba yao,

K llyn ameandika 'My Family'

0 Maoni:

Toa Maoni