Kutana na binti wa Genevive Nnaji

Mwanadada kiwango kutoka Nollywood Genevive Nnaji anajivunia binti yake ambaye ukimwangalia unaweza kuhisi ni mdogo wake.Inasemekana Genevive alimpata binti yake huyo anayeitwa Ebuka (Kifupi cha Chimebuka) akiwa na umri wa miaka 17 tu! Cheki picha za binti huyo jinsi alivyokuwa mdada.
Genevive na binti yake Ebuka
Genevive

0 Maoni:

Toa Maoni