Member wa kundi la P square Peter Okoye ameamua kuvunja ukimya kwa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wa siku nyingi waliodumu kwenye uhusiano kwa miaka saba na mama watoto wake wawili Lola Omotayo. Peter ametumia aina tofauti na iliyozoeleka ya kuvishana pete kwa kum-suprise bi dada kwa gari jeupe la kifahari Range Rover jipya kabisa juu akaweka maua na peter ya uchumba! Cheki picha..
 |
| Hiki ndicho alichoandika Peter baada ya kupost picha za tukio hilo |
Baada ya masaa machache ya tukio hilo Prodyuza maarufu na msanii pia kutoka Nigeria Michael Collins maarufu kama Don Jazzy alitumia page yake ya Twitter kuandika kitu kilichotafsiriwa ni diss kwa mpenzi anayefahamika kama Onome wake baada ya Peter na mchumba wake Lola kuvishana pete kwenye gari..
 |
| Don Jazzy |
0 Maoni:
Toa Maoni