Kina dada na Muonekano wa kimavazi katika mwezi huu Mtukufu

Katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ni vyema kujistiri kwa kina dada kimavazi na kujistri huko hakumaanishi kuwa urembo wako unatoka.Kuna mavazi unaweza kuvaa na bado ukawa bomba na muonekano wako ukaendelea kubaki vizuri kama ilivyo siku za kawaida. Enjoy na picha chini hapo.
 
Ummy Suleiman kutoka Times Fm,unaweza kumsikiliza katika Mitikisiko ya Pwani akiwa na Dida au kila Jumapili kwenye Mwambao asilia kwa wale wapenzi wa Taarab za zamani
Dida The Rocker




Mie pia sikuwa nyuma katika mwezi huu wa Toba

                                    





  

Kutoka kushoto Sandy B,Mie, Dida na Ummy



1 comment: