PICHA: Ndani ya Nyumbani lounge tukishuhudia fainali za BBA

Jana kupitia screen za Nyumbani Lounge tuliweza kushuhudia fainali BBA The Chase na kulikuwa na watu mbalimbali.
Hizi ni baadhi ya picha za waliohudhuria.
Mie na Lucy
Hapa niko na Afisa uhusiano wa Multichoice Tanzani Barbara Kambogi

Barbara akiwa na mama yake
Mie na Edner
Kutoka Times fm tuliwakilisha pia Dj R Guy, One B na Sandy B
Mie na Edner
#Team Times fm
Cliford Ndimbo na Gadner
Cliford Ndimbo kutoka Times fm akimuhoji Barbara

0 Maoni:

Toa Maoni