Tumezoea kumuona katika muonekano wa upara kichwani na timberland zilizounganika na ndevu zake alizotengeneza kwa muundo wa 'O' (Kama picha ya chini inavyomuonesha) ..sasa usichokijua kuhusu muonekano wake ni kwamba huwa anatengeneza mwenyewe na alianza toka yuko shule!
''Sina uhakika kama watu wengi wanajua hili,lakini huwa na nyoa kichwani na kutengeneza muonekano wa ndevu zangu mwenyewe kwa vifaa vyangu mwenyewe na ninafanya hivi kwa miaka mingi sasa,Nilianza wakati niko chuo sikuwa na pesa hivyo nikajifunza kutengeneza muonekano wangu mwenyewe so sikuwa nahitaji kutumia pesa kila wiki" Alisema Banky.
Duh Banky W ni fundi wa muonekano wake mwenyewe.



That's awesome...
ReplyDelete