VIDEO: Beyonce adondoshwa jukwaani na shabiki

Video inayoonesha Beyonce akivutwa na kudondoshwa jukwaani na shabiki imeonekana ambapo Beyonce alikuwa anatumbuiza huko Sao Paulo nchini  Brazil.
Shabiki huyo alizidiwa na furaha baada ya kupewa nafasi ya kuimba sambamba na Beyonce si unajua mambo ya burudani tena..bodyguard aliyekuwa karibu ndio aliokoa jahazi.

Cheki video hapo chini.
                      

0 Maoni:

Toa Maoni