VIDEO: My number one by Diamond Platnumz
Toka video ya My number one itoke watu wametoa mitazamo tofauti kuhusu video na wimbo wenyewe. Kwanza aliibuka Dayna na kusema kaibiwa huu wimbo maana ulikuwa ni wake..wengine wanasema Video kali wimbo wa kawaida..wengine sijui nini na nini hee haya na wewe tizama utoe maoni yako.

0 Maoni:
Toa Maoni