Hizi ni picha za Mastaa wakubwa ambao wapo katika kampeni hiyo Banky W na 2Face Idibia ambao pia wapo katika orodha iliyotolewa na jarida la Forbes ya mastaa kumi wanaongiza pesa nyingi zaidi huku 2face kashika namba sita,Banky W amekamata namba kumi.
![]() |
| 2face Idibia |
![]() |
| Banky W |





0 Maoni:
Toa Maoni