Siku ya Ijumaa ilikuwa ni uzinduzi wa filamu ya foolish age ya msanii Lulu Michael uzinduzi uliofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam.
Mbali na matukio na matukio mengine yaliyojiri usiku huo ni kitendo cha mama yake Kanumba kuangua kila alipomuona Wema Sepetu!
Kuupitia mtandao wa Instagram Wema alitupia picha hizo na mashabiki wake kuchangia,Cheki hii..
 |
| Aww mama angu maskini..she always cries weneva she seez me..love u mama..wat a priceless moment |
|
|
|
 |
| Mama Kanumba wangu mwenyewe...love this woman..And she has always loved sooo much |
Aliandika Wema na mi kitendo hicho mashabiki wake kutafsiri kitendo hicho kuwa mama huyo huenda anamkumbuka mwanae kupitia Wema kwa hiyo anatakiwa ampende na kumjali.
0 Maoni:
Toa Maoni