Kyle na Jaden walihudhuria Hollywood primiere ya Enders game na kupozi pamoja katka red carpet bila wasiwasi tena hawakuficha mahaba yao walijiachia mbele ya camera kwa raha zao.
Baada ya Kim kujiweka kwa Kanye mdogo wake ajiweka Jaden Smith!
Ikiwa ni rasmi sasa Kim Kardashian na mwanamuziki Kanye West wakiwa ni wachumba baada ya kuvishana pete ya uchumba,mdogo wake Kim, Kyle Jenner (16) nae amejiweka kwa mtoto wa mwanamuziki/muigizaji Willy Smith,Jaden Smith (15)!
Kyle na Jaden walihudhuria Hollywood primiere ya Enders game na kupozi pamoja katka red carpet bila wasiwasi tena hawakuficha mahaba yao walijiachia mbele ya camera kwa raha zao.
Kyle na Jaden walihudhuria Hollywood primiere ya Enders game na kupozi pamoja katka red carpet bila wasiwasi tena hawakuficha mahaba yao walijiachia mbele ya camera kwa raha zao.

0 Maoni:
Toa Maoni