Kwa hisani ya mtandao vibe weekly ,itakuwa ni mara ya kwanza Jaguar kufanya wimbo wa aina hiyo ambao utakuwa unazungumzia maisha yake baada ya kifo.
Hivi karibuni imesikika wimbo mpya mitandaoni kutoka kwa Diamond inayozungumzia kifo chache 'Nikifa kesho' na mwenyewe kumalalamikia prodyuza kwa kuuvujisha wimbo huo kabla ya wakati wake aliopanga kuuzindua.

0 Maoni:
Toa Maoni