Kim kardashian ajianika na bikini kwa mara ya kwanza baada ya uzazi..

Kim kardashian leo ame-share picha ya kwanza inayomuonyesha body yake tangu amlete duniani binti yake North akiwa katinga bikini tu na baada ya muda mfupi Kanye aka-comment kuwa 'Heading home now.. '

Kwa hali hii lazima Kanye urejee home haraka sana

0 Maoni:

Toa Maoni