Nick Minaj aanika tena 'nyonyo' mtandaoni!

Siku za nyuma mwanadada huyu asiyeishiwa vituko alipost picha inayomuonesha kifua wazi huku huku matiti yake yakiwa yamefunikwa na nywele zake tu.

Nick Minaj ame-share tena picha nyingine akiwa ameanika matiti yake katika mtandao wa Instagram.Cheki picha hizo..

1 comment: