Tajiri apost picha za 'hekelu' lake ili kuwanasa dogodogo!

Kwa utafiti usio rasmi inasemekana kina dada wengi wa sasa wanapenda sana maisha mazuri ila hawapendi kufanya kazi ili kupata pesa za kuwawezesha kupata hayo maisha wanayotaka! ndio maana kinadada wengi sasa wanatafuta wawezeshaji ili kupata mteremko!

Kutana Don Milisav Juan Gonzales Brzi tajiri mkubwa raia wa Serbia anaedai ana miaka 39 amekuwa akituma picha zake na jumba lake la kifahari kwa matumaini utajiri wake utawavutia mabinti.


Kuthibitisha hilo,katika picha alizo-post online Don Milisav aliandika;
'To all unmarried ones who would like to spend their life by my side and within all the beauties of my home.
'Please look below at all the magic of my home that I have decorated with taste, perhaps just for YOU.'
'Hii ni kwa wote ambao hawajaolewa na wangependa ku-spend maisha na mimi katika nyumba hii nzuri..Tafadhali angalia maajabu ya nyumba yangu niliyoipamba vizuri kwa ajili YAKO!'



Tajiri huyo kwa mujibu wake anatafuta warembo wabichi kuanzia miaka 16-20 kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na ndoa ikiwezekana!

0 Maoni:

Toa Maoni