PICHA: Davido katika utengenezaji wa video mpya ya Skelewu

Cheki picha za utengenezaji wa Video mpya ya Skelewu kutoka kwa mwanamuziki Davido,video iliyofanyika London na inatarajiwa kuzinduliwa jumatatu ya wiki ijayo.


Chukua time yako kumcheki aliyekuwa mshiriki wa BBA The Chase mwanadada aliyewakilisha Nigeria Berverly Osu akicheza Skelewu..

                      

0 Maoni:

Toa Maoni