Mapenzi ya series yamfanya bibi ajichafue kwa tattoo

Cathy Wardas mama wa kizungu mwenye umri wa miaka 52 ameonyesha mapenzi yanayoshangaza kwa series inayofanya vizuri na maarufu ya Twilight,mapenzi yaliyomfanya ajichore tattoo zinazohusu series hiyo wakiwemo mastaa wa Twilight mwili mzima!


Unaweza kuonyesha mapenzi yako kwa filamu za kina Ray,Uwoya,Wolper na wengineo kwa kujichora walau ka-tattoo kwenye sehemu moja ya mwili wako?

0 Maoni:

Toa Maoni