PICHA: Staa wa muziki Kenya Avril ashika funza bila uoga!

Mmoja kati ya kinadada maarufu na warembo nchini Kenya ambae ni mwanamuziki Avril ameungana katika kampeni ya kuzui funza akiwa kama balozi na bila kinyaa ameingia katika jamii na kuifanya shughuli ya kutoa funza kwa walioathirika.


Je wewe kama staa au mwanajamii unaweza kujitolea kwa jamii yako na kufanya hiki anachofanya mwanamuziki Avril?

0 Maoni:

Toa Maoni