Huu ni mfano mzuri kwa kina mama haijalishi wewe ni nani na unafanya nini kutenga muda wa kukaa na familia au kama una mtoto/watoto ni muhimu.
PICHA: Beyonce na binti yake..
Mwanamuziki kiwango kutoka 'majuu' Beyonce ameshare picha mpya zinazomuonyesha akiwa anacheza na binti yake Blue Ivy.
Huu ni mfano mzuri kwa kina mama haijalishi wewe ni nani na unafanya nini kutenga muda wa kukaa na familia au kama una mtoto/watoto ni muhimu.
Huu ni mfano mzuri kwa kina mama haijalishi wewe ni nani na unafanya nini kutenga muda wa kukaa na familia au kama una mtoto/watoto ni muhimu.

0 Maoni:
Toa Maoni