Wema aonyesha akichorwa tattoo..mashabiki wamshambulia!

Wema Sepetu ame-share picha katika mtandao wa Instagram inayomuonyesha akichorwa tattoo nyingine na kuandika caption  'Mmmmmh am I addicted' .

Baadhi ya wachangiaji wameonyesha kutopendezwa na kitendo hicho.Cheki picha hiyo na baadhi ya maoni yaliyotolewa..


'husnadesigns Usijisahau mama we ni mwislam na dini hairuhusu hilo. Usione mbele ya pua yako tu, kuna mbele na kuna akhera adhabu yake juu ya hili tendo ni kali sana.
 
 mattymakyI'm not sure if this is the right thing to do Wema since u have other tatoos in ur body already, I wouldn't advise u to add some more. Remember u gonna have a family one day and ur children will ask u about them, with age someday u won't b liking them anymore darling.
 
joshuaclassicWe nae izo tottoo ulizonazo zinakuyosha sasa kinachofwata ni uchafu na cyo tattoo tena. Hata kama upo addicted with it @wemasepetu @wemasepetu
 
starshineclosetDear wangu mwill wa Mungu huu
 
cessiliankweraTatoo ni ishara ya ushetan..lov u wema ila hzo tatoo mh
 
 
madayusuphDah ila tusijisahau sana dini hairuhusu,,kwanini usifanye ile ya temporaly!!! Haya mrembo
 
amyabdullZnatosha mama, enough with dem tatts.... Ulizonazo znakupendeza , zikizidi inakua uchafu @wemasepetu

0 Maoni:

Toa Maoni