Kutana na Linmei mwanamke wa kichina mwenye umri wa miaka 57 ambaye ana nywele ndefu sana ambazo hajawahi kuzikata kwa miaka 16 sasa, kwa vipimo zina urefu wa mita 2.9!
Huwa anatumia masaa mawili kila siku kuosha na kukausha nywele hizo ndefu sana!
Pamoja na urefu wa nywele hizo Linmei hajafikiarekodi ya mwanamke mwenzake wa kichina ambaye aliiambia Guinness World Record nywele zake zina urefu wa mita 5.6 zilipopimwa mwaka 2004! Mwanamke huyo alianza kukuza nywele zake mwaka 1973 akiwa na umri wa miaka 13.





0 Maoni:
Toa Maoni