Vidonge vya kutengeneza shape vyamgeuza mwanamke kuwa mwanaume!

MWANADADA mrembo Candice Armstrong sasa anaonekana katika muonekana wa kiume unaoweza kumfananisha na Arnold Schwarzenegger.

Candice anasema hakuwahi kufikiria kuwa katika hali hiyo aliyonayo wakati anaanza kujitengeneza mwili wake kwa kutumia vidonge aonekane na shape nzuri na hakutaka kuwa na mikono iliyojazia,mgongo mkubwa na hips ndogo na wala hakuamua kubadili mtazamo wake kutoka wa kike kuwa wa kiume.
 
 

Anasema pia hata sehemu yake ya uke imeongezeka kwa inchi kadhaa kiasi cha kutengeneza kitu kama uume mdogo.

Kwasasa ukimuona Candice mwenye miaka 28 unaweza kufikiri labda ni mwanaume.
 
 


Kweli dunia ina mambo!

0 Maoni:

Toa Maoni