Katika keki hiyo ya Drake ya Birthday kulikuwa na ;
*Bar yake anayopenda kula bata Habibiz
*Mnara maarufu ambao ni kivutio upo Canada unaitwa CN Tower
*Billboard ya wimbo wake Started from the bottom
*Gari n.k
Hebu icheki hapa..
Na wewe unaweza ku-show love kwa vitu uvipendavyo katika siku zako za furaha kama alivyofanya Drake?


0 Maoni:
Toa Maoni