PICHA: Weekend ndefu pale nyumbani Lounge

Kila jumapili ndani ya Nyumbani Lounge kunakuwa na Karaoke night kama unapenda kuimba unaweza kusogea pale na marafiki mka-enjoy,mimi pia nilikuwepo na marafiki.

Mie na Monalisa
Sandy B na Edner
Edner na Captain
Moi,Captain na Cliford Ndimbo

0 Maoni:

Toa Maoni