naytrueboy
'Daaah!! Huu mziki sasa
utanitoa roho..!! Cnaga ugomvi na m2 bt kumbe kuna wa2 wanachuki serious
na wanatamani atanife leo au wanitoe roho..!! Mi nafanya mziki vita
yenu juu yng namuachia mungu#966 mi nafanya kazi nzuri..! Hakuna
wakunirudisha nyuma,, logeni niwindeni kwa vyovyote mtafeli 2. Mi co
wakawaida kiivyo itakula kwenu,,?! #966'

0 Maoni:
Toa Maoni