Hebu cheki alichoyafanya meno yake alipoonekana kwenye YouTube music awards juzi,Tuzo hizo zilifanyika jijini New York.
Hiki ndicho Lady Gaga alichofanya meno yake kwenye tuzo
Mwanamuziki Lady Gaga kila siku ana kituko kipya na huwa sielewi anafikiriaga nini mpaka anafanya vimbwanga hivi!
Hebu cheki alichoyafanya meno yake alipoonekana kwenye YouTube music awards juzi,Tuzo hizo zilifanyika jijini New York.
Hebu cheki alichoyafanya meno yake alipoonekana kwenye YouTube music awards juzi,Tuzo hizo zilifanyika jijini New York.

0 Maoni:
Toa Maoni